Wenger amuumbua Kagame. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenger amuumbua Kagame.

Discussion in 'Sports' started by Saint Ivuga, Jan 31, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  [h=2]Arsene Wenger hits back in war of words with President of Rwanda[/h]
  [​IMG]Arsene Wenger
  Arsene Wenger has faced a barrage of criticism for Arsenal’s poor performances in 2012 from fans and journalists alike, but now people in high places want him out. Paul Kagame, president of Rwanda, has called on the long-time Arsenal manager to give up the job he’s held for 15 years.
  Kagame, a noted Arsenal fan, did so on Twitter in an exchange with with Kenyan journalist Philip Etale. He thinks Arsenal’s trophy drought, which is nearing seven years, has allowed mediocrity to set in at the club. Arsenal has lost all three of its Premier League games this year.
  Mr Wenger does not use have a public twitter account but he told a friend “That Kagame should go. Under his presidency poverty is still widespread, the country still depend heavily on aid and his country is the laughing stock of the modern world with his one cow per household deal. Perhaps he should concentrate on running the country, not the premier league”.
  Mr Kagame’s office refused to reply when contacted by the spoof today.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  mimi naona wenger yupo right. hawa adudu wa afrika wanazingua sana .
  kwetu wamejiongezea mishahara bila huruma
   
 3. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Tatizo letu waafrika ni kudharau chetu na kuthamini cha ulaya. Mie huyu bwana kagame nimemshangaa sana kwani nchi anayoitawala ina vilabu na timu ya taifa lake, je wamefikia wapi??????????? Yake yanamshinda anavamia ya mwenzake.
   
 4. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Hapa Kagame kachemsha kama habari hizi ni za kweli. Nafikiria ni lini D. Cameron anaweza kuonyesha upenzi wake kwa Rayor Sports au APR wazi wazi kama Kagame alivyofanya kwa Arsenal. Anatakiwa subiri aachie Urais wa Rwanda ndo aweze kuoa 'comments' kama hizo. Kama mkuu wa nchi anatakiwa aonyeshe uzalendo kwa timu zake za nyumbani, na kuanza kuwauliza viongozi wa vilabu vya nchi yake na hata kamati ya ufundi kwa nini Timu ya Taifa ya Rwanda haikushiriki AFCON 2012.
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,136
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Wenger ametoa wapi hiyo kauli.
   
 6. M

  Mubii Senior Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naamini wazo la Mheshimiwa Kagame ni valid na ni wazo la wapenzi wengi wa Arsenal. Arsenal ina washabiki wengi duniani na wao hufurahia hilo. Hivyo Wenger asishangae kupata maoni kutoka mashabiki kutoka popote duniani. Wenger alileta makombe huko nyuma lakini sasa hakuna kombe miaka 7. Lazima mashabiki wawe wakali kwani pia huchangia mshahara wa kocha. Wenger ni bora azingatie kazi yake na kuwajibu watu kwa vitendo yaani kushinda vikombe.
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kagame kawea sana kama rais wa Rwanda.Kuzidi karibu marais wote wa Afrika.
   
Loading...