Wema, Zari kuonana 'live' kwenye arobaini ya Nillan

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,425
Kama mambo yakienda sawa leo mahakamani ,wema sepetu akifanikiwa kupata dhamana kuna uwezekano mkubwa wa staa huyo kuhudhuria arobaini ya mtoto wa ex wake diamond platnums,

akizungumza live ktoka clouds fm,diamond ametamka rasmi kuwa staa hyo ni miongoni mwa wageni waalikwa kwenye sherehe hyo, kwa upande wa zari nae amesema hana shida na ujio wa staa hyo ambaye waliwahi kuingia kwenye bifu kipindi cha nyuma.

Kama kweli wema akifanikiwa kuhudhuria kwenye sherehe hyo itakua ndo mara ya kwanza kwa mafahari hao wawili kuonana, na itakua sherehe ya aina yake kwa uwepo wa mastaa hao waliowahi kuingia kwenye vita nzito na kurushiana maneno mtandaoni.

=======

Leo February 9 kupitia kipindi cha LEO TENA kinachorushwa na CloudsFM Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari walikuwa Mubashara kuzungumzia arobaini ya Mtoto wao Prince Nillan pamoja na hayo wameongelea mengine pia.

Zari na Diamond hawakuacha kujibu maswali yanayohusu Uhusiano wao kwenye mwezi huu wa Wapendanao, Zari aliyaongea mengi kuhusu Diamond na Diamond nae aliyaongea mengi kuhusu Zari.

“Hatujawahi kukaa tukazungumzia kuhusu ndoa siolewi sababu watu wanauliza lini mnaoana tutafanya hivyo tukipenda, mimi na Diamond hatuna mazoea ya kushikiana simu kila mtu na simu yake, mengine ni ya kawaida tu kwenye mahusiano hutokea”

“Nimempa password yangu ya Instagram Diamond anaweza kuingia akaperuzi na kufanya chochote kile, mimi na mama Diamond hatuna tofauti zozote tupo fresh tu ni maneno ya watu kutoka nje tu kwamba tumegombana” – Zari

“Namuomba Mungu Wema sepetu amalize tatizo lake salama na yeye tumemualika kwenye shughuli ya Prince NIllan Jumamosi, itakuwa ni siku ya kipekee kabisa kuanzia asubuhi na watakaofika ni wale wenye kadi za mialiko tu” – Zari

“Niwashukuru sana watu wa Media za nyumbani kuhakikisha kazi zangu kunifikisha hapa nilipo sasa….sababu ya mimi kufanya kazi na Unostudios nilikuwa nataka kazi zangu zifike mahali ambayo sikuwahi kufika kabla…..Mke wangu Zari hajawahi kukutana na Wema kabla, sasa hivi tumekua hatuna tofauti” – Diamond Platnumz

Kama mambo yakienda sawa leo mahakamani ,wema sepetu akifanikiwa kupata dhamana kuna uwezekano mkubwa wa staa huyo kuhudhuria arobaini ya mtoto wa ex wake diamond platnums, akizungumza live ktoka clouds fm,diamond ametamka rasmi kuwa staa hyo ni miongoni mwa wageni waalikwa kwenye sherehe hyo, kwa upande wa zari nae amesema hana shida na ujio wa staa hyo ambaye waliwahi kuingia kwenye bifu kipindi cha nyuma. Kama kweli wema akifanikiwa kuhudhuria kwenye sherehe hyo itakua ndo mara ya kwanza kwa mafahari hao wawili kuonana, na itakua sherehe ya aina yake kwa uwepo wa mastaa hao waliowahi kuingia kwenye vita nzito na kurushiana maneno mtandaoni
Safi nimeipenda hii
 
Kwakuwa Wema ana vuta bangi na kichwa chake hakiko sawa ni vigumu kuweka guarantee kama atakwenda au lah..
Kwa maneno ambayo amekuwa akisema na kusemwa ni vigumu kuamini kama anaweza kweli lakini una hitaji kuwa kichaa kubeti kuwa hatokwenda au lah.
 
Zarimond.png

Leo February 9 kupitia kipindi cha LEO TENA kinachorushwa na CloudsFM Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari walikuwa Mubashara kuzungumzia arobaini ya Mtoto wao Prince Nillan pamoja na hayo wameongelea mengine pia.

Zari na Diamond hawakuacha kujibu maswali yanayohusu Uhusiano wao kwenye mwezi huu wa Wapendanao, Zari aliyaongea mengi kuhusu Diamond na Diamond nae aliyaongea mengi kuhusu Zari.

“Hatujawahi kukaa tukazungumzia kuhusu ndoa siolewi sababu watu wanauliza lini mnaoana tutafanya hivyo tukipenda, mimi na Diamond hatuna mazoea ya kushikiana simu kila mtu na simu yake, mengine ni ya kawaida tu kwenye mahusiano hutokea”

“Nimempa password yangu ya Instagram Diamond anaweza kuingia akaperuzi na kufanya chochote kile, mimi na mama Diamond hatuna tofauti zozote tupo fresh tu ni maneno ya watu kutoka nje tu kwamba tumegombana” – Zari

“Namuomba Mungu Wema sepetu amalize tatizo lake salama na yeye tumemualika kwenye shughuli ya Prince NIllan Jumamosi, itakuwa ni siku ya kipekee kabisa kuanzia asubuhi na watakaofika ni wale wenye kadi za mialiko tu” – Zari

“Niwashukuru sana watu wa Media za nyumbani kuhakikisha kazi zangu kunifikisha hapa nilipo sasa….sababu ya mimi kufanya kazi na Unostudios nilikuwa nataka kazi zangu zifike mahali ambayo sikuwahi kufika kabla…..Mke wangu Zari hajawahi kukutana na Wema kabla, sasa hivi tumekua hatuna tofauti” – Diamond Platnumz
 
Aah hawa watu vipi,wakipatana uteam si utakufa na biashara za matangazo insta si zitadoda bana bana tusizibiane riziki bana ushilwadu utakufa hivi hivi. (Tutakosa umbea wajameni)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom