Halafu raha ya umbea upate kitu kipya yani exclusive, sasa umbea wa mama ubaya hausisimui tena siku izi, maana tunajua kila kitu chake so hanogi bhana kwa kweli imekuwa too much
Kumbe na wewe unalipwa na huyu Dada?
Humu hatutaki hata kumuona,mwambie aende global Publishers wazee wa kurusha watu na kobustisha majina.
Umekosea njia,rejesha change
Sasa hivi ana kufa na stress huyu akingalia hana kazi yoyote mujini.. ma miss wenzake walisha piga bao wame olewa na watu wenye heshima zao.. ame baki ana uza sura insta... maisha ya huyu demu ni drama tupu!