lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,131
- Thread starter
- #221
Wema mjamzito.
Tena aliitega mimba kwa kuinua miguu kwenye kamba masaa 12
Shida na utata itakua kwenye kujua mtoto wa nani.
Natamani tubet.
Ushindweeeeeeeeee! Nafuta na kukemea maneno yako kabisaaaa. Wema asiwe tu boya kiasi hikiii, Eee Mola muepushe kiume wako, akizalishwa kwao, watamla nyama INSTAGRAM, kama nawaona watakavo kitukana kitoto.Kitafichwa kama cha Anti. Eee Mola ziwe tetesi tu isiwe kweli.