Kalulu Metusela
Member
- Dec 10, 2011
- 78
- 21
sasa broh iyo list yako ya walimbwende inakusaidia nini?
the lady was cute......!
I wonder what happened to keeping it real. madada zetu siku hizi wanasikitisha sana. Nilikuwa nampenda sana wema hasa kutokana na uzuri na mvuto wake. wema alikuwa ana rangi nzuri sana kipindi cha nyuma kabla hajaanza kujichubua., sijui nani amemdanganya weupe ndio dili. Ukiangalia picha zake za zamani ni tofauti sana na za sasa., sasa hivi amekuwa kama katuni., magoti yake yamejaa alama, mishipa ya damu unaiona bila hata kutafuta, this is sooo bad. jamani madada jitahidini kukeep rangi zenu. halafu siku hizi kujichubua ni ushamba., its for the uncivilized people., embu cheki picha zake za zamani hizo mbili na alivyo sasa(alizopiga kwenye nyumba yake mpya)., kwa kweli kwa hili nimemshusha wema kwenye list yangu ya walimbwende. kama kuna rafiki yake yeyote jf jamani amshauri huyu binti aache KUJICHUBUA.. THIS IS TOO MUCH....!

ni ushamba tu kujichubua..
Yani mimi mara ya kwanza nilimuona very civilized and educated., but unachokisema sa hvi nimekiamini.. Celebs wengi cku hizi ni uncivilizedKalulu metusela,Unaposema kujichubua ni for the uncivilized,so do u thnk she is civilized?Kua celebrity wa bongo dznt make u civilized,unless u have a different understanding of civilized