Inanishtusha kidogo kuona WEMA nae siku hizi ana bodyguard.....
Je,huyu mlinzi wake ni nani hasa ana mlipa???ni CHADEMA au WEMA mwenyewe????na kama ni CDM hivi hawaoni haya ni matumizi mabaya ya RUZUKU yetu ambayo ni kodi yetu????...
Na kama ni wema MWENYEWE ndie anaemlipa huyu MLINZI kwanini hajawai kuwa na mlinzi huko nyuma kabla ya kuhama CCM...kwanini LEO????
Hii inasikitisha kidogo aiseeh......kuona CHAMA hiki kinacholilia kushika dola kinakuwa na MATUMIZI ya hovyo kabsa ya PESA za walipa kodi......
Nyingne hii hapa maana naona VIJANA wa bavicha mnatukana kweli.....Badala la kusikitika kwenye hili kwa hatua chama chenu kilipo fikia ni mbaya sana......nyie mna kimbili kutetea upuuzi wa namna hiii.......inawezekana hata mama SEPETU nae ana bodyguard......Daah ruzuku ya CHAMA jamani inaliwa na WAJANJA.....who knows labda hii ni moja ya term na condition za binti sepetu kuja CHADEMA ya kuwa lazima awepe red brigade........CHA KUSHANGAZAA ZAIDI KUMBE MLINZI mwenyewe alikuwa ni wa MDEE....VIJANA WA BAVICHA mmekimbilia kutukana weeeh...eti ni mme wa WEMA...sijui mnafikiri kwa kutumia nini........
Kwa hiyo na huyu hapa ni NANI????.....maana kuna baadhi ya comment za BAVICHA hapa ni majanga....Msipende kutetea UPUUZI kisa tu umefanywa na VIONGOZI wenu.....
Nafurahi sana kuona comment za BAVICHA humu ndani.......