tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Baada ya fununu kutoka kwamba wema atahama ccm na kujiunga na upinzani ndugu yetu makonda jana akaahirisha mazungumzo yake kupitia clouds na kuamua kuitisha press ili kumake headlines za habar kupitia press yake ili amfunike wema ambaye naye aliitisha press yake leo hii.
Swali langu je matarajio ya makonda yamefauru??
Nani kashika mitandao kati ya wema na makonda??
Mara zote makonda anatamani jina lake liandikwe mara kwa mara kama ninanyo mwandika mimi lakn je na wengine wamefanya hivyo baada ya wema kuhamia chadema??
Wakati ni jibu tosha. Majibu mnayo mkiyaleta hapa mtakua mmefanya ya maana sana. Ila ninacho jua huwez kujifanya maarufu watu watakufanya maarufu!!!
Nani maarufu kati ya Wema na ndugu Makonda??