Huyo Luis Munana ndio nani....No ameweka picha ya Luis Munana na kusema si kila kitu kinapaswa kuongelewa. Mbona kazi kwa mrembo wetu Miss Tanzania 2006.
Luis Munana alikuwa na Idriss kwenye big brother akiwakilisha nchi yake Zambia, baada ya big brother Wema alitoka na Luis baadae wote tulishangaa anatoka na Idriss ambae ni rafiki wa Luis, sasa inawezekena amerudi kule alikotoka.Huyo Luis Munana ndio nani....
Naona na wewe unaripoti ki insta insta...
Aisee.... Huyu Wema..... !? Kwahiyo anaipeleka K Zambia sasa. Anatumia ndumba!?Luis Munana alikuwa na Idriss kwenye big brother akiwakilisha nchi yake Zambia, baada ya big brother Wema alitoka na Luis baadae wote tulishangaa anatoka na Idriss ambae ni rafiki wa Luis, sasa inawezekena amerudi kule alikotoka.
Kushea ni UNYAMWEZILuis Munana alikuwa na Idriss kwenye big brother akiwakilisha nchi yake Zambia, baada ya big brother Wema alitoka na Luis baadae wote tulishangaa anatoka na Idriss ambae ni rafiki wa Luis, sasa inawezekena amerudi kule alikotoka.
Dah.. Hilo jina lako noma.Kushea ni UNYAMWEZI