Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Status
Not open for further replies.
Hapa Mwenyekiti umetuangusha hiyo papuchi ya huyo binti ni bandika bandua Sasa Nini wewe kimekusibu ,Warembo wamejaa mjengoni kibao si ungechukua huko ona Sasa yametukuta
Basi mpe yako, mambo yaishe!
 
Dikteta uchwara kazaa na Shemej yake (mdogo wake na mke wake) hilo hamlion,viwanda vimewashinda mnaanza majungu ya uzinzi, tunajua propaganda hzo znapkiwa lumumba
Kampa na ukurugenzi kabisa
 
Tive mimi nimechoka bwana,Steven Nyerere on the making,tive mzee wa fitina ,Mbowe mlipe wema Dau lake,mlimdanganya ahame CCM kwa ahadi kem kem.Mnapata ruzuku,mpeni Wema chake
Nadhani umeshaelewa sasa malizia kwa kuchek hiyo video
 
Duh ndo maana kuna yule msanii gani sijui nimemsahau jina alishaimba ule wimbo unasema "Hii kitu hii kitu hii kitu hii Hii kitu hii...." nimesahau muendelezo wake, anayekumbuka auendeleze
Ndukusukurukucho na Late John Walker
 
Asema ujumbe huo utakuwa umesambazwa kutokea kwa Mbowe mwenyewe(mke wake au girl friend wake) Msikilize Wema:

Kama huu si uongo wa kitoto Mbowe mwenyewe angesambaza huo ujumbe ili iweje??!!
 
hahhha huu ulimwengu huu c mzuri hata kidogo, daah tena ulimwengu wa huba, HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA.
 
Ulianza kipumbavu mada yako, hata huko mwishoni sina haja ya kuisoma tena.
 
Ni Steve Nyerere,akiwa na mtu anayejirekodi kwa kumuigiza Wema
Sasa huyo mtu kachoka kurudia mara kwa mara ili aipatie sauti.Ndio maana anasema "Steve mi nimechoka bhana"

Michezo ya vijana wa mjini,wasiofanya kazi kwa kutegemea mizinga ya wanasiasa

Steve Nyerere tena acheni kumuingiza kwenye mahaba haya, upimp aliachwa nao CCM
 
Kwa jinsi Tundu Lissu alivyo mwiba kwa serikali zote zilizokuwepo madarakani (toka enzi za Mkapa), angekuwa na makandokando kama Mbowe basi angekuwa ameshashughulikiwa na Yuvisisimizi. Lazima tukubali kuwa Mbowe ni dhaifu kwa ngono, na wabaya wake wanatumia udhaifu huo vizuri. Hata kama haya mambo ni ya kutengeneza, sote tunajua Mbowe na K ni sawa na bendera na upepo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…