Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Status
Not open for further replies.
Ni vema habari kama ni za kweli kuwekwa wazi lakini kama ni maigizo kama hayo ya wakina Mpoki ni upuuzi mtupu.
 
Hii movie nayo itapita wataunda nyingine nayo itapita and the life goes on.
 
Mapenzi ya Mwenyekiti wa chama na KUB sio jambo dogo
Lumumba mmeona njia bora kupunguza kasi ya upinzani ni kumchafua Mbowe kwa vitu vya kipuuzi,mnatengeneza recording kwa kuigiza sauti!Hamna namna bora ya kujenga chama zaidi ya kutekeleza ilani na mliyowaahidi!
 
Mipumbavu hujadili mambo ya mapenzi yasiyo na tija kwao badala ya kujadili changamoto zao
Ngoja siku umfume mkeo anafanya mapenzi na mume wa mtu halafu unapojaribu kumhoji akuambie hakutaki na aondoke kabisa nyumbani ndo utajua mapenzi hayana tija
 
Nimeamini 90% ya watz na hata humu mpo ni wajinga hiyo sio sauti ya wema kuna demu kaigiza na kama uko makini kuna mda anapotea kabisa ile tone ya wema na mwishoni pale anasema steve mi nimechoka bana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom