Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Status
Not open for further replies.
Naona aliyepewa kazi ya "kuigiza" sauti anamtaja Steve hapo mwisho kuwa amechoka "kurecord" hii "episode"

Hii yote ni kazi ya mikono ya Steve Nyerere!!Atarudije mjini na kuendelea kukaa bila kujua kodi ya nyumba inatafutwaje?ni kutumika na hawa wanasaisa wa siasa za kuchafuana

Chadema nao wanajibu mapigo kwa kumchafua Mwenyekiti wa Chama dola,tena kwa kashfa kubwakubwa sana....Hawa vijana tunaowalea kuwa viongozi wa baadae tunawapa misingi ya hovyo hovyo hovyo sana sana.Misingi ya siasa za kuchafuana mitandaoni.

Vijana wametengeneza magroup ya WhatsApp fake,na wengine nao wakajibu kwa magroup fake

,
Yaani kwa mtu uliyewahi/uliye karibu na hao wanaoonekana kuwa ndio walikuwa wanajiandikia hizo msgs,utajua tu huu ni uongo.

Nina miaka zaidi ya kumi nikiandikiana Msgs na Lissu na Mdee,iwe ni kwa e-mail au SMs,huo sio uandishi wa Lissu wala Mdee.Kwa jinsi nilivyozoea kuandikiana nao Msgs,eti Lissu anaandika "Eee bwana"??Huyu sio Lissu hata kidogo

Hata huo uandishi wa Polepole ni wa kuigiza!!Kuanzia alieanza na "voice note" mpaka hawa wa "screenshot" ni upuuzi mtupu

Tunaandaa vijana wa hovyo kabisa.

Hivi mnafikiri Mwalimu na "uadilifu" wake hakuwa na mpango wa kando!?Hivi mnadhani kina Kawawa walikuwa Malaika??Hivi mnadhani hao kina Bhoke Mnaka na kina Sozingwa walikuwa Malaika?Lakini mbona sisi vijana wa zamani hayo mambo tulifundishwa kuyaweka kwenye koo na kifuani ili yasifike mdomoni na kupayukwa??

Vijana wa CCM na Upinzani jifunzeni siasa za kistaarabu!!Mtatuharibia nchi
 
Kama ni kweli. Mbona mh ametuvua nguo. Hata hvyo siamini kama ni jambo la kweli. Tz ya sasa michezo michafu imetamalaki. Kutwa kuharibiana. Duuuu hii balaaa, sijui kwa nini muumba ametuumba tukupende sana Kule!
 
Hivi hii sauti ya wema ilivyo nyororo ishaharibika? hat hii ya kubumba kwa sababu tune yake bado, tafta sauti ya wema akiwa analalamika ni lazima hatupie kingereza hatari hapa maccm yamenoa
 
Mkaruka Mimi sijakutukana,wewe unatukana.
Humu tunatumia majina bandia...Ikiwa unamtukana baba yako au mtu wa karibu na baba yako,huoni unajitengenezea jambo lisilokufaa?

Sijatetea mtu,ndio maana nimeshangaa vijana wa pande zote,wale wa CCM na wale wa Upinzani.
 
Tehe tehe tehe kazi imeanza. Sijui ilikuwaje mwenyekiti wa chama akachukua hatua ya kuhifadhi hayo mazungumzo? Tehe tehe tehe povu linamwagika kutoka ufipa.
 
Naona aliyepewa kazi ya "kuigiza" sauti anamtaja Steve hapo mwisho kuwa amechoka "kurecord" hii "episode"

Hii yote ni kazi ya mikono ya Steve Nyerere!!Atarudije mjini na kuendelea kukaa bila kujua kodi ya nyumba inatafutwaje?ni kutumika na hawa wanasaisa wa siasa za kuchafuana

Chadema nao wanajibu mapigo kwa kumchafua Mwenyekiti wa Chama dola,tena kwa kashfa kubwakubwa sana....Hawa vijana tunaowalea kuwa viongozi wa baadae tunawapa misingi ya hovyo hovyo hovyo sana sana.Misingi ya siasa za kuchafuana mitandaoni.

Vijana wametengeneza magroup ya WhatsApp fake,na wengine nao wakajibu kwa magroup fake

,
Yaani kwa mtu uliyewahi/uliye karibu na hao wanaoonekana kuwa ndio walikuwa wanajiandikia hizo msgs,utajua tu huu ni uongo.

Nina miaka zaidi ya kumi nikiandikiana Msgs na Lissu na Mdee,iwe ni kwa e-mail au SMs,huo sio uandishi wa Lissu wala Mdee.Kwa jinsi nilivyozoea kuandikiana nao Msgs,eti Lissu anaandika "Eee bwana"??Huyu sio Lissu hata kidogo

Hata huo uandishi wa Polepole ni wa kuigiza!!Kuanzia alieanza na "voice note" mpaka hawa wa "screenshot" ni upuuzi mtupu

Tunaandaa vijana wa hovyo kabisa.

Hivi mnafikiri Mwalimu na "uadilifu" wake hakuwa na mpango wa kando!?Hivi mnadhani kina Kawawa walikuwa Malaika??Hivi mnadhani hao kina Bhoke Mnaka na kina Sozingwa walikuwa Malaika?Lakini mbona sisi vijana wa zamani hayo mambo tulifundishwa kuyaweka kwenye koo na kifuani ili yasifike mdomoni na kupayukwa??

Vijana wa CCM na Upinzani jifunzeni siasa za kistaarabu!!Mtatuharibia nchi
Umeeleweka lakini hizo nasaa zilete keshokutwa ila leo sie na Mbowee tu. Maana haiwezekani Mwenyekiti kila uchao yeye kula totoz za ndani ya chama....anatufundisha nini hapo???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom