jamani habari ndio hiyo WEMA kaolewa tayari na anaishi na mume wake kwa sasa lakini MONDS bado anaangaika na wanawake kila siku mara sijui ZARI ambae ana watoto kibao na tunajua hawawezi kufunga ndoa zaidi ya porojo kibao. sasa yeye ndie alimuacha wema lakini mwenzake tayari kaolewa(cha nini wakati wenzako wanawaza watakipata lini) lakini yeye yuko mara kule mara sijui zari white party swaga kibao. sasa hapa kwa upande wako nani mjanja hapa?
Haya oneni watu wanataka haribia kazi wengine, badala ya kutangaza filamu wanadai ni ndoa yao....
Kweli wizi mtupu huo
Inasikitisha sana kisa Diamond na Zari. Ndio mwanamke udakie kazi za watu kuita harusiii...mkome kumuitia kazi hana soko tafuteni wasanii wapya muwapaishe sasa...
Hakuna kitu kinachomfurahisha mwanamke duniani kama siku ya HARUSI tena ukiwa na mumeo ukijidai nae kwenye mipicha kila kona!
Umeolewa halafu unamficha mumeo hutaki watu wamjue??hii kali ya mwaka!!ltena ndoa ya kwanza hutaki kumuonyesha mumeo!!ahahhaa.
Kuachwa kubaya sana aisee yaani unaweza ukafanya mambo ya ajabu sana wakati ungekuwa katika hali ya kawaida huwezi kufanya wallahi!!
Wema mdogo wangu huwezi kushindana na wanaume hata siku moja
harusi picha moja tu hii mupya
Hapo sasa.Huyu ana lake zitooo kuliko maelezo.
Wema huyu tunayemjua sisi au yupi wa kuficha kitu?
Itakua ni scene ya movie yake labda
Halaafuu. ..mnaoshangaa wema kuolewa why? Ha deserve? Aishije sasa?
Nakwambia anavyohangaika hyo yote kwa sababu ya kesho zari white party
Ana mrusha roho tu diamond na zari hana lolote!kuolewa kulivyokuw raha masikhara sasa??!unatamani dunia nzima ijue kama umeolewa halafu humfiche mumeo!wema gani wakuwa na siri!
Ameshindwa kujifichia siri ya ugumba ataweza kuficha mume na ndoa?
jamanii!sijui hata wema anawazaga nini huyu dada!?yaani tabia ambazo ilikuwa afanye mwanaume badala yake anafanya yeye!!
Mwanamke anasura nzuri sana na umbo lakini hajithamini hata kidogo
Ukweli ni kwamba Wema ata 1/10 ya uzuri wa Lulu hana!
Ana makubwa naye kwani yeye ndo wa kwanza kuolewa! Yani anaficha hadi harusi lazima kuna kitu si bure anaficha.
Mwenzangu huko insta kuna picha dougiemasta kaweka eti kuna party ya harusi sijui nini!
Hawana lolote wanataka kuwachanganya watu tu na hivi kesho kuna party ya diamond na zari...
harusi picha moja tu hii mupya
Watu majasili kuliko morani,msululu aw wema kuanzia anasoma hadi sasa naujua anajaza bus za mkoani 5
Mumesikia Director hajafurahia muviii yake kuibiwa credit na Wema kudai ilikuwa ni ndoa yake...wakati ni kuvi na gari la director ndio lilikuwa linatumika kikazi.
Mpo???????????
AHahahah mbea mwenzangu nimekupenda mwaaaah!! Umejua kunifuraisha, wema huyu aliyesema kuwa hawezi kuficha mtu ambaye yupo nae, tena leo aolewe afiche? Mxiuuuuu!! Ila umenichekesha binamu eti kama ugumba wake kashindwa kuuficha itakuwa mume? Ndo tujiulize