Dotto Mnzava
R I P
- Mar 6, 2014
- 864
- 427
Chanzo: CloudsFMStaa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuriwa na watu watano.
Akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa juju na mumewe kushindwa kumuoa.
Mume wangu ni Mtanzania na siyo maarufu na ndoa yangu ilihudhuliwa na ndugu zangu wachache na ndugu wa mume wangu sikutaka watu wengi niliogopa kupigwa juju na mume wangu asingenioa,alisema Wema.
Alipoulizwa kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba mumewe alilichukuaje alisema kuwa hana tatizo naye na amekubali kuishi hivyo hivyo.
ney Wa mitego
Huyu binti bana, Hongera yake lakini,, Kasema Mme wake sio Mbabu wala Kijana yupo kati,, Afu sababu ya kufunga Ndoa bomani ni Dini tofauti,
Akalinde ndoa yake sasa aachane na vihoja