Makamba anaelimu ya darasa la saba, nasikia aliwahi kuwa mwalimu , kisha mwanajeshi. zaidi ya yooote ndio mwanaCCM mwenye akili zaidi , ikihisiwa IQ ni kubwa kuliko woooote na anaaminika zaidi, na anakarama ya uongozi kuliko ccm wooote na ndio maana kwa kutumia uwezo wake wakufikiri alishawishi kuajiriwa kwa Tabwe Hiza , Chiligati kama wasaidizi wa mwenyekiti wa ccm Taifa, ni yeye alieshauri fomu yakutafuta wadhamini Ya JK itembezwe na Ridhwani.kile kichwa adimu ccm.