Ni kama simu ya tochi na ya smart... tv yenye smart unaweza kuunganisha na WiFi na kutumia YouTube, whatsapp, Netflix n.k lkn normal huwezi kutumia hvyo
Ni kama simu ya tochi na ya smart... tv yenye smart unaweza kuunganisha na WiFi na kutumia YouTube, whatsapp, Netflix n.k lkn normal huwezi kutumia hvyo
Soyi Tv wamekuletea vunja bei, sasa unaweza kupa soyi 32” normal Kwa Tsh.280,000/= na Kuletewa ulipo Kwa Dar-Es-Saalam... Piga simu no. 0714171341 Karibuni sana
Tv aina ya TCL Inch 32 normal na smart zinauzwa Kwa bei rahisi sana; View attachment 1417884
Tcl 32” smart- 480,000/= Tsh.
Tcl 32” normal- 450,000/=Tsh