Habari mkuu. Naulizia Speaker ambazo unaweza tumia kwa kuweka flash. Sio zile kuubwa wanatembea nazo watu wa promo barabarani. Pretty design... preferably thin vertical models ambazo unaweza kuweka seating room kwa ajili tu ya kusilizia mawaidha ya dini hivi. So hapo hakuna subwoofer. Asante

Kuna Tv nimeona imeandikwa back light tv ss naajiuliza. Hii ni feature gani ktk iyo tv ..embu watalaam mnisaidie jambo Extrovert ww ni bingwa sanaa wa flat tv