Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
Hi.
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa kujiunga na chuo kikuu hususa ni Chuo Cha Kikatoliki Mwenge kwani mmefanya uamuzi sahihi na hamtakuja kuujutia kamwe..
Chuo hiki kina mazingira mazuri na rafiki kwa kujifunzia masomo yote ya sanaa na sayansi sambamba na walim/Lectures wazuri na wenye uzoefu wa kutosha.
Chuo hiki pia kipo kilometa chache kutoka Mlima Kilimanjaro jambo linalopelekea mazingira ya chuo kuwa na hewa mwanana na safi ivyo kukufanya kuishi kwa amani na utulivu kipindi chako chote cha masomo.
NB: The University is located some 10 km North of Moshi town on the road to Mweka Wildlife College. The University is signposted from the YMCA round about. Take Sokoine Road towards KCMC Hospital and at about 3 kms past the hospital the University is signposted on the left. The University is 1.1 kms down the road.
Karibu sana Mwenge Catholic University: Soaring with you to great heights