Kweli tunapenda muwe chini yetu ila sio kihivyo.asante
Yaah!kweli mtani huu ni waqt wetu almuhimu mjipange kwa msimu ujao.kutesa kwa zamu
Huu mchezo hauhitaji hasiramzaha unaleta sasa sie tupo serious wenzio
kuna ukweli kabisa hebu fikiria watazamaji wale wa buku tano na timu inaka kambni etc watu wanajitoa sana acha tu ukiwa piga domo utasema wanapiga helaInakatisha tamaa nimesikiliza habari ya michezo itv saa hizi eti pesa za okwi hazifikii hata robo ya deni la hanspope kuidai simba
maana yake akijitokeza mwenye hisa atadai chake asepe kwa kuwa anapenda aendelee ila nguvu za MO zinaonekana kumzidiaNa kaongezea hanspope kusema simba haina pesa kwa sasa ndiyo maana hadai pesa zake ila ikifikia kuwa na pesa simba ndiyo atadai pesa zake
maana yake akijitokeza mwenye hisa atadai chake asepe kwa kuwa anapenda aendelee ila nguvu za MO zinaonekana kumzidia