Wekeza mtaji mdogo upate mafanikio makubwa

BLESS MIHILA

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
304
70
WEKEZA TZS 40,000 UPATE TSHS 10,000,000 KILA MWEZI.

Ndugu mpendwa,

Naomba kuchukua muda wako wa dakika 5 tu kukushirikisha fursa ya biashara ya kipekee sana itakayokuwezesha kutengeneza shs 10,000,000 kwa mwezi kwa kuanza na mtaji usiozidi shs 40,000 tu.
Ukifanikiwa kuanza biashara hii kwa moyo wa dhati hakika maisha yako hayatakuwa kama ulivyo sasa. Biashara ninayokuletea ni Biashara ya Vitabu aina 16 vilivyoko kwenye mafungu 6 ya matoleo.Vitabu
hivyo vimegawanywa katika mafungu kama haya ya vitabu vya:
1. Elimu ya fedha na Ujasiriamali
2. Uwekezaji wenye Akili na Busara karne ya 21
3. Athari na faida za Mikopo
4. Jinsi ya kujilinda na Wizi wa Utambulisho
5. Mbinu za kuwekeza kwenye majengo
6. Kanuni za kuwekeza Fedha yako ikutumikie
Vitabu hivyo vipo kwa wingi kwa ajili ya watu wanaojali afya njema ya ubongo na akili ilibkuweza kushika uchumi wa dunia. Vitabu hivyo aina 16 vinasambazwa na kampuni ya kimarekani iitwayo Four Corners Alliance Group.
Vitabu hivyo husambazwa kwa wanacha pale unapojiunga kwa kiwango cha $18=Tzs 40,000/- kwa wastani mara moja tu na baada ya hapo unatakiwa kuleta wanachama 4 wajiunge ukiwa kama mdhamini wa ili kuendelea kukuza na kupanua biashara ya kampuni kuongeza ''commission''ambayo unalipwa kulingana na daraja lako yaani kuna daraja la 1-6.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia:
USERNAME YANGU KWENYE KAMPUNI:mphubusa(Sponsor)
Whatsapp/Call:+255764 144 594
Call only:+255782 144 594
E-mail:barakamphubusa@gmail.com/barakamelk@yahoo.com>
 
Kabla sijasoma acha nikutukane acha ujinga na utaahira + tamaa za kipumbavu na biashara zenu ucharwa za kutajirisha wamiliki!
 
Habari za asubuhi wapendwa,

Nimepitia comments zenu bado ni nzuri tu kwani hata watu waliofikia hatua ya kufanya biashara za mtandaoni na kupata mafanikio makubwa walianza kutukana kama baadhi yenu mlivyofanya ila lengo kuu ni kukuwekea ujue hata upande wa pili nini kinaendelea ukifuatilia na kujiridhisha ujiunge maana hakuna anayelazimishwa kufanya jambo kwa kuwa kupanga ni kuchagua.

Hivyo vitabu hulazimishwi kuvisoma maana kama hihutaji kupata maarifa na ujuzi mpya namna ya kuboresha shughuli unayoifanya ili kujiongezea kipato maana kupanga ni kuchagua.Maana siku zote watu wanapenda kuwekeza kehemu ambazo vihatarishi/risks vya mafanikio ni vidogo sana mwisho wa siku returns yake inakuwa ndogo sana.

Nawashukuru kwa kuwa hata mmesoma maana ninaamini kila aliyesoma ataendelea kutafakari na mwisho wa siku atachukua hatua.

Mungu awabariki na kuwapa hekima katika maisha yetu.
 
Jamani eeeee Tumechoka na upuuziii huuu hili nalo Jipu Serikali iingilie,
Kila siku haikosi Post ya ushuzi huuu.
Hivi nyie kwenu hakuna wanaotaka pesa na maskini huko vijijini kwenu?
Mmegeuza Bongo kuwa Nigeria sasa,waliofanikiwa kuibia wenzenu zamani nyyie mnaamka wakati watanzania wote wajanja
Acheni wizi
 
Mpaka umeleta tangazo lako humu utakuwa una milion ha 700 kama kila mwezi unapata milion
 
Aisee nchi hii mnakoipeleka haki ya nani italipuka asee. 40000tsh upate 10M. Kwa kununua vitabu yaliyoko kwenye mafungu sita daaaaaah. Naamini kwamba nyakati za mwisho zimekaribia. By the way gud luck guys. Kila kitu ni kuthubutu
 
Kiongozi,siku zote mkuu ukitengeneza mtandao wa wtu kwenye biashara una uwezo wa kutengeneza mahela ya kutosha!

Kwa hiyo huna haja ya kutukana maana hulazimishwi kuingia kwenye hii biashara.

Kwa hiyo kupanga ni kuchagua!!!!!!!
 
Ni business nzuri jaman, sema kk now days hyo networking business imekua kama mzik wa bongofleva ndo mana watu wechoka hata ivo vitabu kwa tz is not our culture so itakua impossible kwa watu kuelewa lakin jitahid kama umeshaanza usikate tamaa angalia areas ambazo ni compatibility za kupata network market kama sehem za vyuo na mijin sana
 
Ni business nzuri jaman, sema kk now days hyo networking business imekua kama mzik wa bongofleva ndo mana watu wechoka hata ivo vitabu kwa tz is not our culture so itakua impossible kwa watu kuelewa lakin jitahid kama umeshaanza usikate tamaa angalia areas ambazo ni compatibility za kupata network market kama sehem za vyuo na mijin sana



Nashukuru sana Mkuu kwa kunitia Moyo,siwezi kukata tamaa maana nimeamua kuyasaka mafanikio ila sitaki niende pekee maana maisha yenye furaha zaidi ya ya kuwa na watu wengi kwenye biashara kama hii ili baadae kuwe na ushuhuda mkubwa!!!!!!
 
Mpaka sasa kuna watu zaidi ya watano wamenitafuta whatsapp kuniuliza zaidi kuhusu hii fursa baada ya kusoma uzi huu nilioweka huu naamini ipo siku watarudi hapa kutoa ushuhuda ni suala la muda kufika (Time Will Tell).

Mungu awabariki wote wana JF!
 
Back
Top Bottom