CHUO CHA UFUNDI JITA
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 116
- 23
Karibuni
Swali.
Je ulisha vipeleka kwa mhariri (editor)?
Onyo.
Waandishi wengi hawajui umuhimu wa ma~editor na kazi zao.Matokeo yake huandika vitabu vyenye makosa mengi na sumu kali ambayo ikienda kwa mlaji(msomaji au mwanafunzi) hurithisha sumu hiyo kwa wengine na kuzalisha kizazi cha mbumbumbu.
Ushauri wa bure.
Mtafute mhariri afanye hiyo kazi km unataka kutoa kazi iliyo bora.Japo kuna gharama kidogo ila ni vizuri.Ukikosa ni PM tuone namna ya kusaidia ktk hilo. Toa Vitabu vilivyo bora siyo bora vitabu.Aksante.
Jaribu Kumuona Nyambari Nyangwine ni publisher na anaweza kusponsor pia.Ni Ushauri tu...
ngoja waje mkuu ila mzigo ni nimeukubali
Swali.
Je ulisha vipeleka kwa mhariri (editor)?
Onyo.
Waandishi wengi hawajui umuhimu wa ma~editor na kazi zao.Matokeo yake huandika vitabu vyenye makosa mengi na sumu kali ambayo ikienda kwa mlaji(msomaji au mwanafunzi) hurithisha sumu hiyo kwa wengine na kuzalisha kizazi cha mbumbumbu.
Ushauri wa bure.
Mtafute mhariri afanye hiyo kazi km unataka kutoa kazi iliyo bora.Japo kuna gharama kidogo ila ni vizuri.Ukikosa ni PM tuone namna ya kusaidia ktk hilo. Toa Vitabu vilivyo bora siyo bora vitabu.Aksante.
Ahsante mkuu kwa mchango wakoawaone DUP ghrama zao ndogo sana
awaone DUP ghrama zao ndogo sana
Mkuu hawa DUP siwapati, kama unajua website yao nisaidie
sHUKRANI MKUUDar-es-salaam University Press .nenda ukaonane nao pale mlimani mkuu.