Weka picha yoyote ya Mandhari hapa

Umetumia camera gani mkuu,
 
Tumbaku+mahindi, alizeti+mahindi. Hii intercropping hasa ya alizeti+mahindi si sahihi
Mkuu kwanini alizeti na mahindi si sahihi?

Tangu utoto wangu hadi leo ndiyo naona wengi tunafanya hivi, au tuingizie na maharage
 
Natamani atokee mtu aweke picha ya muonekano wa maeneo mengine ukiwa juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro, awe kaipiga kwa simu ama kamera na siyo kudownload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…