Jumaaofficial JF-Expert Member Joined Oct 12, 2017 Posts 250 Reaction score 210 Nov 21, 2017 #1 Habar wana JF, Weka picha ya nyumba unayo-ipenda. Dream house
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,117 Reaction score 1,249,280 Nov 21, 2017 #2 We utakua muumini wake tu
Kidume cha mbegu JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 1,251 Reaction score 710 Nov 21, 2017 #3 Muu Numbisa said: We utakua muumini wake tu Click to expand... Muunini wa nani? Au wa zile nyumba za Dr. Shika anazotaka kunuuwaa
Muu Numbisa said: We utakua muumini wake tu Click to expand... Muunini wa nani? Au wa zile nyumba za Dr. Shika anazotaka kunuuwaa
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Nov 21, 2017 #4 Halafu nikishaweka?? Ili Uchague ya Kumpelekea Fundi wako??
Kidume cha mbegu JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 1,251 Reaction score 710 Nov 21, 2017 #5 Kujenga nyumba hizo labda uwe mfanya biashara mkubwaa ila kama unaulizia salary jf kila mwezi utazionafa tuuu
Kujenga nyumba hizo labda uwe mfanya biashara mkubwaa ila kama unaulizia salary jf kila mwezi utazionafa tuuu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,117 Reaction score 1,249,280 Nov 21, 2017 #6 Hizo na ile ya mchungaji wa kike mbunge pia Kidume cha mbegu said: Muu Muunini wa nani? Au wa zile nyumba za Dr. Shika anazotaka kunuuwaa Click to expand...
Hizo na ile ya mchungaji wa kike mbunge pia Kidume cha mbegu said: Muu Muunini wa nani? Au wa zile nyumba za Dr. Shika anazotaka kunuuwaa Click to expand...
Kidume cha mbegu JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 1,251 Reaction score 710 Nov 21, 2017 #7 Shark said: Halafu nikishaweka?? Ili Uchague ya Kumpelekea Fundi wako?? Click to expand... Utakuwa huna nyumba unakula kwa shemeji
Shark said: Halafu nikishaweka?? Ili Uchague ya Kumpelekea Fundi wako?? Click to expand... Utakuwa huna nyumba unakula kwa shemeji
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Nov 21, 2017 #8 Kidume cha mbegu said: Utakuwa huna nyumba unakula kwa shemeji Click to expand... Unadhani kila mtu uko kama wewe??
Kidume cha mbegu said: Utakuwa huna nyumba unakula kwa shemeji Click to expand... Unadhani kila mtu uko kama wewe??