Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
si unaona imelegea niichemsha kwenye pressure cooker ndiyo nikavaa
kama ya yanga
kweli....????
Sasa kwanini unadanganya kuwa huvaagi?
kwa sababu niliimodify
Kwanini uliimodify?
ili isiwe mtumba
ndiyo......
hao ulowataja ndo wakezo? nakuona unawasaidia kuwachagulia sidiria
kwani kuna tatizo....?
hizi za mtumba sivai aisee
me nna wivu ujue
ila nguo za mtumba unavaa....?
sasa kuna tofauti gani ya kuvaa sidiria ya dukani....afu top ya mtumba...
Najua..