Weka na Ushinde na NMB

Weka na Ushinde na NMB

NMB Tanzania

Official Account
Joined
Sep 13, 2014
Posts
94
Reaction score
232
Zawadi zenye thamani zaidi ya Milioni 500 kushindaniwa.

Bajaj 52, Bodaboda 52 na Baiskeli 400!

Mteja wa NMB kupata nasafi ya kushinda kwa kuweka kiasi cha Tsh50,000 katika akaunti yake.

Timiza ndoto yako!
 
Attachments

  • nmb-pinpost.png
    nmb-pinpost.png
    113.6 KB · Views: 224
nataka kufungua account. mna visa?
 
Bank takataka hii, mimi huwa nachukulia mshahara, yaani ukiiingia tu naenda kutoa wooote napeleka crdb au bank ya posta. wanaiba hela hawa, system yao ni mbovu ktk ATM wanaongoza kuibiwa na ukienda pale wanakwambia ni kosa lako mteja. juzi nimetoa hela kwa nmb mobile haijafika siku mbili, kama unakaa mbali unataka kutmia NMB mobile mwisho wao ni ijumaa, hapo utaipata hadi jumatatu asubuhi, weekend haifanyi kazi ukitoa hela kama ulikuwa na haraka utaipata jumatatu ukishaenda mjini. bank ni bank ya posta na crdb na nyingine kwa hizo za kibongo.
 
duu! jamaa una hasira hadi umeharibu. lakini sawa, hapa ndilo jukwaa WANAKOTHUBUTU KUONGEA KWA UZWAZI
 
Hivi kwa nini makampuni mengi wanapenda sana kutoa zawadi ya Bajaj, pikipiki na baiskeli?
Gari, nyumba, pesa, vyote wanaona mara mia baiskeli, pikipiki? hahaha!
 
Back
Top Bottom