Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,774
- 6,760
Hizi ndo za magu zilimfanya mchepuko wangu anikumbatie kwa uoga wakati naendesha gari zilipopita jana juu yangu nusura ajinyee na kunisababishia ajali kwa jinsi alivyonirukia tokea kwenye seat yake pemben4
Wewe ni jipu mkuu![emoji30]Hayo makaa ya mawe brother
Tayari niko hapa toka mwezi wa pili. karibu AREA Ckwani umeshahamia dodoma nkamo?
asante sana,mimi ndiyo namalizia kufungasha vilago huku daslam,karibu sana NkuhunguTayari niko hapa toka mwezi wa pili. karibu AREA C
Ni kweli japo ni sababu ndogo sana.Kuserv mafuta
Ni kwa sababu zinatumika pale zinapohitajika tu... Zaidi ya hapo zinatulia kwa sababu ni gharama sana kuziendesha kutoka zilipo mpaka kwenye enea la tukio.
Ukiacha hayo... Pia hizo siyo commercial airline useme zina specific destination... Zikitumiwa kwenda kupiga/kushambulia mahali haitaletaa maana, kwamba mfano zisafiri umbali wote toka USA mpaka korea zipigie alafu zirudi tena USA kwa ajili ya reload zirudi tena kupiga ni gharama sana...
Ndiyo maana hizo meli siyo tu hutumika kuzibeba bali pia ni base station inayojitosheleza kwa kila kitu.
Cc: mahondaw
Zina kelele sana kwakweliHizi ndo za magu zilimfanya mchepuko wangu anikumbatie kwa uoga wakati naendesha gari zilipopita jana juu yangu nusura ajinyee na kunisababishia ajali kwa jinsi alivyonirukia tokea kwenye seat yake pemben4
Mkuu inamaana wafaransa nao wanatengeneza hizi vitu hatari za kivita!!Rafale F1. France multirole fighter
Au ile kuputa mchanga kwenye kiganja cha Msimamiz wa shoo, ukiputa tyu ngumi izoUmenikumbusha mbali: enzi tukiwa wadogo unachora mstari halafu unamwambia kama wewe ni mwanaume vuka. akivuka ngumi zinaanza.