Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,202
- 2,035
Kwa wale mabingwa wa kutoa malaani nadhani wanafurahi baada ya kuona fursa hii kwani itawakumbusha mbali sana.kwa sisi tuliosoma shule za uswahilini lazima tulipitia michezo hii.
Weka malaani yako hapa...ili tujikumbushe enzi
Yangu yalikuwa haya lazima ulie au ukaseme kwa mwalimu;Kidevu kama kona ya sambisa,Vidole kama chelewa,Nywele kama mkutano wa nzi,Tumbo kama pipa,Macho kama golori n.k.Weka yako tukumbuke enzi
Karibuni