Weka hapa Picha/tukio la kuhuzunisha walimwengu

Kutoa ni moyo na si utajiri, miguu ya bandia ipo tuache masihara huyu yuko wapi? Ni rahisi ngamia kupita kenye tundu la sindano ila si tajiri kuurithi ufalme wa Mungu.
Mkuu kama sikosei huyu dogo alipewa miguu baada ya picha hii kuonekana nadhani ni mwaka jana
 
Mbona wadau mmetoka nje ya mada..!?

Ni bora mgepita kimya tuu, mkaacha wengine tutafakari...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…