Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,360
- 91,912
🤣🤣🤭
🤣🤣🤭
YeahUnasoma alama za nyakati unagundua hapa sihitajiki basi unajiweka pembeni kiroho safi🙂
Salama kwema mkuu?
You are a man....komaa
HahahahaUnajifanyaga kauzu sana we faller wangu
Japo u mtu wa maana sana but jf unajua ukauzu sana![]()



Umewahi kupenda kiuwongo uongo eee🤪Hahahaha
Huyo nampenda kiukweli sio kiuwongo wongo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hizo zipo za kuzugiaUmewahi kupenda kiuwongo uongo eee![]()





Nitafutie moja ya kuzugia ndg yangu
Kwema kabisa mkuuSalama kwema mkuu?