Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,360
- 91,912
Mi dompo tu plzz,Nataka nikupeleke tukapige vyombo
Mi dompo tu plzz,Nataka nikupeleke tukapige vyombo
😳Unazingua🙄 haya sawaLini nilisema nimeoa bhana? 😀
Huyo uliyemtaq huenda atakuja kujibu hilo swali.
Mwache kama alivyo....labda alikatazwa na baba yake😃@Icebreaker alinikataa,.kasema hataki kuwa na wake wawili
Sasa nazingua nini tena?😳Unazingua🙄 haya sawa
SawaMi dompo tu plzz,
Nimejiweka pembeni shoga yanguMwache kama alivyo....labda alikatazwa na baba yake😃
😀😀😀@Icebreaker alinikataa,.kasema hataki kuwa na wake wawili
Yaani unahukumu kesi kwa kusikiliza upande mmoja? Hunitendei haki bhana.Mwache kama alivyo....labda alikatazwa na baba yake😃
Unasoma alama za nyakati unagundua hapa sihitajiki basi unajiweka pembeni kiroho safi🙂
What if na mimi nimesoma alama za nyakati nikaona sihitajiki? 🙃😀Unasoma alama za nyakati unagundua hapa sihitajiki basi unajiweka pembeni kiroho safi🙂
Ha haaa hii kali kweli.kweli.What if na mimi nimesoma alama za nyakati nikaona sihitajiki? 🙃😀
Mi hata sijui eti 😀Sasa tunafanyaje?
😎




tafuta demu SABUNI itakuua 




🥲🥲🥲 mwaka tatanishi, lotion ambayo natumia imeisha dah.. huwa ina kaharufu kazuriWeekend upo kama nyoka nyoka tutafuta demu SABUNI itakuua
![]()
Aisee😔Nimejiweka pembeni shoga yangu