Na mwingine kanikuta kweny uzi gani sijui uko,ananiambia nilikua nakuona una heshima kumbe unadanga hadi makaburini unajitangaza kabisa kwenye nyuzi za watu
Sasa Jolie kama na hazard mnataniana hamkulani utajua mwenyewe hiyo kazi uliyompa mzigua atapiga huko mpaka hazard mwenyewe naona humjui mzigua akilewa