Nakupenda kwa kuwa hujawahi nitoa kasoro,bwana akuzidishie moyo wa uvumilivu.Kijana mwema sana wewe,hujaona sura ya baba,ndo kwanza unaniita malkia,the cutest,one and only,i love u so much baby
Nakupenda kwa kuwa hujawahi nitoa kasoro,bwana akuzidishie moyo wa uvumilivu.Kijana mwema sana wewe,hujaona sura ya baba,ndo kwanza unaniita malkia,the cutest,one and only,i love u so much baby
Sasa Jolie kama na hazard mnataniana hamkulani utajua mwenyewe hiyo kazi uliyompa mzigua atapiga huko mpaka hazard mwenyewe naona humjui mzigua akilewa
Hahahahaha apige tu maana,naumwa leo nimeshindwa kutoka na baby,nimemruhusu kwa masharti ya kuwahi kurudi,sasa kama anafanya ndivyo sivyo mzigua akipigana kwa niaba yangu sio vibaya.