Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
NakusalimiaAbee
WoiiiiiiUnataka kwenda wapi tena bila mimi?
Hata huku kuna wadau sana mkuu chilaxIlo tangazo ungeweka insta ungepata sana wadau
Umenikumbusha last weekend dada angu alinambia "ningekupeleka kwa shemeji yako ila hivyo ulivyovaa hakawii kubadili mawazo". Nikajua utani bwana. Kesho yake akanipigia simu niende ila anasisitiza uvae vizuri sitaki uje umtege shemeji ako. Kumbe bwana ake fisi kweli nimeenda nimevaa suruali ila bado akaanza kuleta za kuletaUvae kiheshima ni shemeji ako uyo
Eeeenh namuonaga wa mjini aisee halafu wadada wanampapatikia hivi Erica alimkula kweli nakumbuka Erica enzi zile nikasema anawolewaHahaahahaaaaa. Sio mchaga yule masai bwana. Yule akiniona atanisumbua akishalewa. Alikuaga shemeji ako
Ebu kuya
Anhaaa hapo sawawew si utakuwepo pemben
Kila abiria achunge mzigo wakebebi sio kwa wivuu huoo
Shoga liwe pana panaNitavaa dera mama
Wadada wanamtongoza jamani. Sema kazuri ila umalaya tu. Alikua ananiambia beb huyu naoa kabisa. Walikaa miezi mitatu wakaachanaEeeenh namuonaga wa mjini aisee halafu wadada wanampapatikia hivi Erica alimkula kweli nakumbuka Erica enzi zile nikasema anawolewa
Hahahahaha ilitakiwa uvae sketi na blauzi ya kitenge,blauzi ina bega lefu kwenda juu na remba kubwa kama la kinaijeriaUmenikumbusha last weekend dada angu alinambia "ningekupeleka kwa shemeji yako ila hivyo ulivyovaa hakawii kubadili mawazo". Nikajua utani bwana. Kesho yake akanipigia simu niende ila anasisitiza uvae vizuri sitaki uje umtege shemeji ako. Kumbe bwana ake fisi kweli nimeenda nimevaa suruali ila bado akaanza kuleta za kuleta
Nimekuya dadaaaaEbu kuya
Watu na miwivu jamaniShoga liwe pana panalisiruhusu chura kuonekana kwa urahisu