Naomba niletee zawadi jamaniSikuona hii ndio nimeona muda huu...
Week ijayo nasafiri maybe mwezi wa nne hivi ndio nitakuwa around dar...
Ubaya upooau kuna ubaya?
Next time nikikuitaji naomba uchague maeneo jirani na haya...Niko Protea town. Heienek zangu nazikuta wapi leo?
Kho kho kho
Haha jamaaaani sina kaka,akisimama kama kaka angu ntampenda mileleUbaya upooo ukaka vipiiii unataka kunyima nini mtoto wa mwanamke mwenzio
Natumia ndiziunatumia magimbi....
Mfyuuuuu usimtese mtoto wa watuHaha jamaaaani sina kaka,akisimama kama kaka angu ntampenda milele
Hahaa.... nishaona afu kama vile ulikuja pale karibu na heinekein house that day im curious.....Yani mimi utaonekana kweli nakubemenda.
Hahah...utakuwa na maji mengi wewe....Natumia ndizi
Hahah...utakuwa na maji mengi wewe....
Naomba niku invite lunch and not dinner whitebwana wako naona kajificha mpaka muda hajatoa ruksa
Naona unappishana na fursa mkuunaogopa mengi yaan me muoga mnoo jamani acha tujuane tu jukwaani
Hapana jamani nyingine sio fursa hata unaenda kuumbuka tuNaona unappishana na fursa mkuu