Huu ugomvi unaoanzisha tafutia ulingo kwingne sio hapa kwenye uzi wa bby mzigua
Poa beira unaendeleaje jamaniMambooooooo
Na huyo hashindwi kukugandishaSawa mkuu heri umenishtua mapema.tungegandiana ingekuwa noma sana.
Ndo shemeji yangu huyu kumbe??Shemeji ako huyo kuwa ana adabh Jolie
Naona unanitafutia kesi kwa mzigua.Wa saba mkuu
Ukisikia ndoa ya watu inavunjika ndo leoMh mtoto gani sio mzigua tena
Yaan ungekua karibu yangu ningekuogesha mabusu sana ,you never fail to understandAsantee Putin mzigua halafu anatakiwa awadharau watu hajijui tu
Nimenyamaza cephalaudo shemeji anguBora umwambie wew
atakuelewa
Kipande cha juu nitumie pmIssa Weekend.
DaaaaaNimenyamaza cephalaudo shemeji angu
Nashukuru umenisaidia asee.nilikuwa nasikia story tu za kugandiana ngoja nikae nae mita 100 kama kituo cha kupigia kuraNa huyo hashindwi kukugandisha
Hahhahahah Putin ulikuwa hutaki kabisa mazoea anayokuletea ya ukaka ukaka huo vipiiiiiUmenielewa kabisa ninakila sababu ya kusema you are such a woman ambaye you always think outside the box .
Yaan namaanisha ukisema kitu na kukisimamia una sababu nzuri nyuma yako , ivo usishangae hata ukiwa ktk intavyuu macho yotee yawe kwako, naninahisi wewe unakila sababu yakulipa jua sababu ya kwann linapaswa kuchomoza .
Naona unaulizia jinsia ya jamaaNini tena mkuu
Hapana ujue mzigua ndugu yetu ebu tuambie ili tujue mapungufu ya shemUkisikia ndoa ya watu inavunjika ndo leoee baba nifundishe kunyamaza
African chemistry haijawahi kushindwaNa huyo hashindwi kukugandisha
Kama unatumia njia ya maswali km haya huwezi kuja kutongoza ukampata mwanamke.Kwanini binti mzuri kama wewe unafanya hivi??
Nimekuelewa mnooo ndio mana huwa nampa makavu yake dharau watu ukiona anakusema au vipii achana naye endelea na mambo zakoYaan ungekua karibu yangu ningekuogesha mabusu sana ,you never fail to understand
Umenielewa sana yan .
MkuuKwanini binti mzuri kama wewe unafanya hivi??