Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 May 30, 2014 #41 Jerrymsigwa said: Nimalize kadigrii kangu nami ntafute job, mnafaidi mtaani jmn mweee!! Click to expand... Bado unasoma?uko mwaka wa ngapi?
Jerrymsigwa said: Nimalize kadigrii kangu nami ntafute job, mnafaidi mtaani jmn mweee!! Click to expand... Bado unasoma?uko mwaka wa ngapi?
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,085 Reaction score 8,409 May 30, 2014 #42 Honey Faith said: Bado unasoma?uko mwaka wa ngapi? Click to expand... Mwaka wa 8 mkuu, bado mmoja tu
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 May 30, 2014 #43 Nipo zangu kilabuniii napata komoni!!! Indemoniiii!! Kumba kumba wakishakula kumbaa!!..... Ongezaaa!!
Nipo zangu kilabuniii napata komoni!!! Indemoniiii!! Kumba kumba wakishakula kumbaa!!..... Ongezaaa!!
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 May 31, 2014 Thread starter #44 Munkari said: Nipo zangu kilabuniii napata komoni!!! Indemoniiii!! Kumba kumba wakishakula kumbaa!!..... Ongezaaa!! Click to expand... Hicho kilabu unipeleke tafazali
Munkari said: Nipo zangu kilabuniii napata komoni!!! Indemoniiii!! Kumba kumba wakishakula kumbaa!!..... Ongezaaa!! Click to expand... Hicho kilabu unipeleke tafazali