Jana nilikuwa moshi pale night club nilikuwa namcheck whozu anapiga show,kulikuwa na konyagi tofauti zenye radha ya tangawizi na limao, ulikuwa ukiangiza konyagi nne unaletewa na vidada vimeibeba kwenye chombo kinawaka vitaa, aaah ila baadaye nikachoka nikataka kulala nikazima TV maana nilikuwa naangalia FRIDAY NIGHT LIVE[emoji16][emoji16][emoji2]