Hahaahaa aiseeeHahahaha we lara kimya hiki namna gani tenaaa??tunajua wiki ijayo sikukuu na vyuma vimekaza au ndo umekamatwa transit unalazimika kuliwa kiboga?? Kaza tako asee walau utukumbuke kwenye ufalme wako wa weekend story basi tushakua addicted hukuu
Cc Smart911
Ebu acha nianze nae mimi kwanza mjeda halaf atakuja kwakoLara 1 kamtuliza mjeda hapo hapo kwa makusudi kwa sababu mimi nina kazi nae bado weekend hii. Yaanj navusha balaa masai wangu ananishangaa hanielewi kabisaa
😱😱😱😱
Mimi namtumia kwa JF-MoneyHivi unamiminika hivo ukiwa unatumia kinywaji gani,nakulipia kwa mtandao wowote uwe credit card,Tigo pesa,m pesa au airtel
Talk the talk, do you walk the walk?Kama kuna mjeda yeyote yuko njema anipm........I wanna be her Vivian.lkn sio mambo ya kurekodiana
Lara kweli huu si uungwana au umeshika maiki unaimba?? Hebu tiririsha story huku au nawe uko na mjeda baada ya kutoka sudani ya kusiniArosto itaniua..!