Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 9, 2015 #1 Jamani kufuatia sakata la panya road ukionekana husomeki unabebwa mzombemzobe na kufunguliwa kesi ya panya road hakikisheni mnakua nadhifu kidogo halafu msikae vijiweni
Jamani kufuatia sakata la panya road ukionekana husomeki unabebwa mzombemzobe na kufunguliwa kesi ya panya road hakikisheni mnakua nadhifu kidogo halafu msikae vijiweni
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,714 Jan 9, 2015 #2 Unatudanganya Amavubi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 9, 2015 Thread starter #3 Heart said: Unatudanganya Amavubi Click to expand... wacha kuhadaa wenzako kwa kuwa umevaa pina
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 9, 2015 Thread starter #4 Heart said: Unatudanganya Amavubi Click to expand... njoo uswazi kwetu ushuhudie
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,714 Jan 9, 2015 #5 Amavubi said: wacha kuhadaa wenzako kwa kuwa umevaa pina Click to expand... Kumbe uswazi...mi sikai uswazi basi,Panya road hawafiki kwetu huku.
Amavubi said: wacha kuhadaa wenzako kwa kuwa umevaa pina Click to expand... Kumbe uswazi...mi sikai uswazi basi,Panya road hawafiki kwetu huku.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 9, 2015 Thread starter #6 Heart said: Kumbe uswazi...mi sikai uswazi basi,Panya road hawafiki kwetu huku. Click to expand... unaonekana kabisa hukai uswazi................
Heart said: Kumbe uswazi...mi sikai uswazi basi,Panya road hawafiki kwetu huku. Click to expand... unaonekana kabisa hukai uswazi................
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Jan 13, 2015 #7 mm ninavyo jua polisi ndio panya road wenyewe wakikukuta umevaa yebo yebo wanakumata halafu wanataka uwape laki tatu je kama mtu umeshindwa kununua kiatu cha elfu 20 je hiyo laki tatu utapata wapi
mm ninavyo jua polisi ndio panya road wenyewe wakikukuta umevaa yebo yebo wanakumata halafu wanataka uwape laki tatu je kama mtu umeshindwa kununua kiatu cha elfu 20 je hiyo laki tatu utapata wapi