Funguka basi mkuu, weekend wapi, mji gani, kiwanja gani, is it your treat au cost sharing? Umejiandaa na fungu kiasi gani? What type of lady do you expect? Umri unaopendelea (utapata jimama ukimbie) VIGEZO NA MASHARTI VYA HIYO OFAA? Who are u? Why would i be interested with your company? Funguka watu mishe mishe hazisomeki!!!!!!!!!!!!! KAMA NI KUSPEND WEEKEND DUBAI AU HATA ZANZIBAR NITUMBUKIE MZIMA MZIMA!!!!!!!!!! LOL! YEsoya, cielo, Lucy Godfrey njooni huku kijana mwenye mipesa yake mpweke hukuuuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.