Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
NK... hii post imenifurahisha... napenda the way umesindikiza ni red kwa finality ya Blue... Naamini kabisa kama mhusika una msimao huo basi hata yale aliosema NN hayawezi kukuta wala hutastahili kufanyia kazi....
Hapo in red... kuna members weengi saana JF nasikia wameumizwa.. mtu mpaka anaona JF ni chungu tena.... Ni bora hata wale wanakutana kama friends bila nia ya kutongozana (thou ni rare), alafu ikaenda na flow....

huwa siamini kama wanaotafta wachumba net wapo serious!
Hivi katika mazingira ya kawaida na tunavyointeract na watu unaweza kosa mchumba kweli hadi mtu aamue kutafta kivuli internet!!

Hapo in red... kuna members weengi saana JF nasikia wameumizwa.. mtu mpaka anaona JF ni chungu tena.... Ni bora hata wale wanakutana kama friends bila nia ya kutongozana (thou ni rare), alafu ikaenda na flow....
Kumbe unasikia tu....

Khaaaa! nilitaka kukuanzishia sredi ujue! ina maana imekula kwangu?
Alichosema Nyumba Kubwa ndiyo ile willpower niliyoizungumzia katika bandiko langu la kwanza. Nimeupenda msimamo wake kwa maneno na kama kwa vitendo pia hufanya hivyo basi nampa heko mara 800!
Hapa ofisini kwangu kuna file tatu lakini due to privacy na kama ni jitihada za kuutokomeza umbeya Tanzania sitowataja.
But uko sawa kabisa
The good thing nimesikia directly from wahusika... the irony most ni guys... Tatizo hapa JF mtu mmoja anavutiwa taswira tofauti na wahusika ikiendana na hao wahusika what they like most in a man/woman... Mwingine ata imagine ni mnene/mwembamba... mweupe/mweusi... Beauty/prettiness ikitawala katika mawazao ya weengi... BUT once they meet the person in question..... Ni another unfathomed case....

Hapa ofisini kwangu kuna file tatu lakini due to privacy na kama ni jitihada za kuutokomeza umbeya Tanzania sitowataja.

But uko sawa kabisa
halafu huyo nyumba kubwa yupo hivyo kwa sababu ya factor nyingi sana
labda malezi.lakini naamini pia na aina ya mume alienae
pengine angeolewa na mtu mwingine angekuwa mtu mwingine kabisa
kiukweli mie haijawahi kunitokea maybe huwa inatokea na mie ninakua sipo awea.sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
week end njema
hehehe vibabu vinapiga mzigo kuliko hawa masharobaro wa sku hizi, hizi kesi za kinamama kutokufikishwa kileleni zimeanza miaka hii, enzi zetu kinamama walikuwa wanalalamika kileleni wanakaa sana wataanguka siku moja moja tuwaweke kwenye mashina.

imekula kwako mazimaaa. Usikute wa ni kibabu huna hata jino moja.
Hakuna haja ya kuleta hapa... as your fellow Co-worker naamini nina access na hizo files... hivo naja....

hahahaha! Mi nina file mbili. Jumla 5. Mmmh! Hali ni mbaya.lol.
Unaipenda misimamo yake (at least hapa kwenye forum) inapokuja kwenye mahusiano?
halafu huyo nyumba kubwa yupo hivyo kwa sababu ya factor nyingi sana
labda malezi.lakini naamini pia na aina ya mume alienae
pengine angeolewa na mtu mwingine angekuwa mtu mwingine kabisa
siwezi kusema naipenda or siipendi
inanifanya niwe more curious about her
je how old is she?ndoa yake ina miaka mingapi??????
kwa sababu most women wanakuwa hivyo wanapokuwa still in love na ndoa zao na waume wao...
kukitokea mabadiliko,unashangaaa
umewahi sikia mabadiliko ya wanawake after menopause??????/
Offu topik: dah cookie kanipa za uso kwa JF rules halaf kafunga topik, skujua yuko serious kivile! Aisee sinyatii tena mamods ,nashkuru hakunilamba banUnaipenda misimamo yake (at least hapa kwenye forum) inapokuja kwenye mahusiano?