Iki kizungu ulichoandika ndio kikwazo, ila zipo kibao na sidhani kama network boosters zinahtaji frequencies
Lakin pia unawezajitengenezea (home made) booster
Wapi zinapatikana wakuu
Friends, I am experiencing weak cellphone signals in my village house. As I intend to spend a long time living there next year I cannot tolerate the situation. I know that there are companies which sell weak cellphone signal boosters. However these gadgets may have to follow TZ specifications such as the frequencies to tune to, etc.
Can anyone shed some more light on this ?
Nilikuwa nipo mikakati ya kununua lakini kwenye specifications wameelezea maswala kadhaa mojawapo ni hilo la frequency
Nisingependa kutengeneza mwenyewe kwani sina utaalamu wala muda wa kujifunza. Nataka kununua. Zipo nyingi sokoni
Kumbe kulikuwa na uwezekano wa kuandika post yako kwa kiswahili na ukaeleweka tu vizuri!!!Zinauzwa na makampuni mengi. Kwa mfano hawa: Cell Phone Signal Boosters, Repeaters and Amplifiers - UberSignal
Chief Mkwawa nina zantel 4g tigo 4g na halotel hapo kwangu mwendo ni Edge H kunusanusa tena afadhali Zantel ila nikiwa bafuni na jikon room moja ya watoto i afadhali kidogo au nitoke nje tena usawa wa nyumba ya jirani nadhanai seting yanyumba yangu vikona kona ving labda kwa kweli nahitaji boosterumejaribu isp mwengine tofauti na huyo unaetumia? jaribu Halotel na smart wana coverage kubwa. Tanzania vijijini hakuna 4g, 3g mitandao yote inatumia 2100mhz na smart ni 850/900. kifaa chochote chenye quad band za 3g kitakamata mitandao yote ya simu Tanzania
nunua rooter halafu itege eneo ambalo kuna network nzuri then rooter ita supply nyumba nzima hio network nzuri.Chief Mkwawa nina zantel 4g tigo 4g na halotel hapo kwangu mwendo ni Edge H kunusanusa tena afadhali Zantel ila nikiwa bafuni na jikon room moja ya watoto i afadhali kidogo au nitoke nje tena usawa wa nyumba ya jirani nadhanai seting yanyumba yangu vikona kona ving labda kwa kweli nahitaji booster
Kumbe kulikuwa na uwezekano wa kuandika post yako kwa kiswahili na ukaeleweka tu vizuri!!!
Da hizo booster zinakimbia kuanzia 500$?
nunua rooter halafu itege eneo ambalo kuna network nzuri then rooter ita supply nyumba nzima hio network nzuri.
upo mjini? jaribu na vodacom kwa sasa wapo vizuri sana hawa jamaa. na hakuna Tofauti kati ya zantel na Tigo wanatumia mnara mmoja hao.
wewe tafuta halotel au smart sio vodacomNitawajaribu hao jamaa. Nataka kuitumia vijijini sehemu yenye milima sana.
wewe tafuta halotel au smart sio vodacom
Hawa Smart ofisi zao ziko wapi?
Asante sana.kwenye supermarket za TSN utawakuta na makao makuu ni mikocheni B sijui exactly location