Weed, ndum, ganja, madini

Nina mwani jembe nyonga phantom moja

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ras Mathew- Ganja In My Brain

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hyo k2 inaitwa 'Bob Marley Stick'

Post sent using JamiiForums mobile app
 
nilikuaga mp[ingaji sana wa hii kitu hadi nilipopata bahati ya kwenda red lioght district -holland na kufanya a little bit reserch..kumbe sababu ya huu mmea kua illegal was pure economic marekani ili kutoua soko la sigara na makampuni makubwa...na karibia kila ethnic all over the world in one way or the other wanatumia ganja kwe their sacred ritual or daily activity so now am pro-marijuana although sio mtumiaji
ARTICLE KUHUSU HII KITU
https://www.google.com/search?q=why...ome..69i57.12351j0j7&sourceid=chrome&ie=UTF-8
News from credible source
Why Is Marijuana Banned? The Real Reasons Are Worse Than You Think | HuffPost

Emancipate yourselves from mental slavely nobody but ourselves can free our mind-Bob marley
lagalize it
 
Humu kila aina ya watu wamo leo wavuta bangi kesho mashoga ukute wanateteana balaa.
 
Katika maisha yangu ya ujana hii ni starehe ambayo sijawai itumia .

One day nitajiribu


huwezi kuwa shujaa bila kuwa muhuni
 
kwa kwenda


sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…