Weka video mkuu!Nimeshuhudia....
Obama Rais wa marekani ni Professor mbona hatajwi hivyo?Hahahahaa profesaaa!!!
Nilikuwa sijakutana na mtoa mada MPUMBA-VU na mjinga kama wewe!Kwenye taarifa ya habari sasahivi Ufo Saro baada ya Kumtaja Prof. Ndalichako kuzungumzia wanafunzi feki wa vyuo vikuu alimtaja pia Prof. Mwageni (katibu mkuu) lakini akamtaja kama Bwana Mwageni.
Wewe Ufo Saro ohoooo angalia sana huyo ni Professor pia sio Bwana.. Ndio maana hata kadi za harusi zinatenganisha Bwana/Dr na Professor....uwe unauliza. Na kwa taarifa yako hii serikali ya Magu hao wakubwa wengi wao kama sio Dr. Basi ni Profesa... Ila tu usije ukakariri hadi ukasema Profesa Nape ohooo.....
Hiyo ni kwa taarifa yako
Aaaaa mkuu, tafadhali!Nilikuwa sijakutana na mtoa mada MPUMBA-VU na mjinga kama wewe!
Ulimbukeni tu,ukiwa profeasor unaweza kuwa hata mwanamke,kutaja bwana amemtendea haki kabisaKwenye taarifa ya habari sasahivi Ufo Saro baada ya Kumtaja Prof. Ndalichako kuzungumzia wanafunzi feki wa vyuo vikuu alimtaja pia Prof. Mwageni (katibu mkuu) lakini akamtaja kama Bwana Mwageni.
Wewe Ufo Saro ohoooo angalia sana huyo ni Professor pia sio Bwana.. Ndio maana hata kadi za harusi zinatenganisha Bwana/Dr na Professor....uwe unauliza. Na kwa taarifa yako hii serikali ya Magu hao wakubwa wengi wao kama sio Dr. Basi ni Profesa... Ila tu usije ukakariri hadi ukasema Profesa Nape ohooo.....
Hiyo ni kwa taarifa yako
Kwenye taarifa ya habari sasahivi Ufo Saro baada ya Kumtaja Prof. Ndalichako kuzungumzia wanafunzi feki wa vyuo vikuu alimtaja pia Prof. Mwageni (katibu mkuu) lakini akamtaja kama Bwana Mwageni.
Wewe Ufo Saro ohoooo angalia sana huyo ni Professor pia sio Bwana.. Ndio maana hata kadi za harusi zinatenganisha Bwana/Dr na Professor....uwe unauliza. Na kwa taarifa yako hii serikali ya Magu hao wakubwa wengi wao kama sio Dr. Basi ni Profesa... Ila tu usije ukakariri hadi ukasema Profesa Nape ohooo.....
Hiyo ni kwa taarifa yako
Ndioinaondoka jamaniHivi kumbe ukiwa prof, jinsia inaondoka? Maana mi najua bwana inatumika kumtaja mwanaume na bi inatumika kwa mwanamama.