Maaahaaabaaaa Pendael, jambo iko..!!??
bhonekaga Magu wakongw'ise... wize tolye nh'ombhoHhahahahahahahha Kasie mie leo looh!!
Nale Ikungu Sima....😀😀😀😀
@Kassie wewe unadhani anaposema dadii nipe karoti maharage sijazoea... picha gani inakuja kichwani? analilia mkuyenge hataki kusagana viharage na akina mwajuma? Kama wewe tu unavyolilia karoti binti mwenye nyege zake. Kassie matata.
Inamaana huyu Bibie hana matter core?Mi toka useme huna chura nimepunguza kusoma threads zako
Usihofuu, Matata yenye Mahaba na Bashasha tele na vikolombwezo kedekede.
K' Matata.
HahahahaKwa raha zakoo.
Mambo Valle, huyu msukuma unamuita wa nini atakuja alete Englisha yake hapa wakati mie nna Mahaba na Dadii wangu.
Nikisema nina mahaba na wewe au nina mahaba na sim yangu au ninahaba na nyumbani kwetu nitakua mimekosea?Yaani wewe unanichosha ujue hehehehehheheee
Kasie ni Matata
Matata ni Mahaba
Mahaba ni Mahaba teleee
K' Matata.
Nikisema nina mahaba na wewe au nina mahaba na sim yangu au ninahaba na nyumbani kwetu nitakua mimekosea?
Nakushoshaje we si ndio umeleta mada hapa nasi tunataka kujua mwelekeo wako
Asante naanza naweweRuksa kuwa na Mahaba vile upendavyo hata na mwili wako, uhuru ni wako, chaguo ni lako.
Hakuna kitu, nyeupeee