Kuna bia na nyama za kutosha?
Ngoja ajibu kwanza usikute wanapitisha maboksi ya Azam juice ya embe unakunywa mda wa kula ili usile sana ..Hebu wahi PM uchukue double, tunaenda wote.
BTW moniccca bwana harusi mtarajiwa alikubali kukugegeda kabla ya ndoa?
Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?
Mkuuu umeenda kufukunyuaaa hahaha.. Hadi umeleta uzi huo... Nimejikuta nacheka sanaaaHebu wahi PM uchukue double, tunaenda wote.
BTW moniccca bwana harusi mtarajiwa alikubali kukugegeda kabla ya ndoa?
Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?
Ngoja ajibu kwanza usikute wanapitisha maboksi ya Azam juice ya embe unakunywa mda wa kula ili usile sana ..
Nikutakie mafanikio mwema katika kuanza safari yako ya ndoa..Mwenzangu ni non alcoholic drinks tu.
Kasema hamna hizo kitu .. Mimi sitakuwepo..Ha ha ha, wasije wakatujaza matumbo siyo!
Mkuuu umeenda kufukunyuaaa hahaha.. Hadi umeleta uzi huo... Nimejikuta nacheka sanaaa
Kasema hamna hizo kitu .. Mimi sitakuwepo..
Mungu awe naye katika maisha Yake ya ndoaOkay, so mimi pia sitakuwepo kama wewe hutokuwepo. Tuwatakie tu kila la kheri.
Sure mkuuu..... Ndo hivo.. Jamaa anachukua jiko ambalo hajawahi kuligegeda... Hii sio nzuri sanaa lakini inapendeza..Ee bana, sikuona mrejesho wa hili swala ndiyo maana nauliza.
JF tumehusishwa kwenye hili tokea kwenye kutafuta mpaka kwenye harusi, lazima tuwe na uhakika kwamba kila kitu kiko on set na siyo disappointment.
Sometimes we have to have faith, that is why I have decided to enter without test..Sure mkuuu..... Ndo hivo.. Jamaa anachukua jiko ambalo hajawahi kuligegeda... Hii sio nzuri sanaa lakini inapendeza..
21th century yanatokea haya, i didn't espect... Huyu mwanamke kajitahidi KUVUMILIA... Lakini katika uvumulivu wake amekuwa na maswali kibao Kuhusu jamaaa ake.. Aaarrgghit's non of our Business, hacha aingie kwenye ndoa ataleta marejesho