....ya aitivii kwanza ni page moja tu, na wao inaoneka interest yao ipo kwenye tamthiliya tu
....ya staa tivii ni bora kidogo ila ina-lack video, as if ni ya gazeti hivi, ila iko updated, same as TBC
....chanel10 wanatupa local temp. ya Golden, CO(sic)