brian360 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 224 Reaction score 34 Aug 18, 2012 #1 hili tatizo ni langu au kwa watu wote
Lionell Member Joined Aug 13, 2012 Posts 32 Reaction score 5 Aug 18, 2012 #2 kwa wote watakuwa ndo wanaweka selection zao kama saut jana ilikuwa hivyo hivyo leo wameweka selection zao inafunguka
kwa wote watakuwa ndo wanaweka selection zao kama saut jana ilikuwa hivyo hivyo leo wameweka selection zao inafunguka
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Aug 18, 2012 #3 Ulikua unatafuta nin kwenye web ya chuo chetu?
E elank54 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 479 Reaction score 21 Aug 18, 2012 #4 Hata ya ardhi inaleta mgomo na asbuh haikua hivi...
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,155 Reaction score 162,571 Aug 18, 2012 #5 Perry said: Ulikua unatafuta nin kwenye web ya chuo chetu? Click to expand... Mkuu hii sasa imezidi kiwango.
Perry said: Ulikua unatafuta nin kwenye web ya chuo chetu? Click to expand... Mkuu hii sasa imezidi kiwango.
F fidelis zul zorander JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 687 Reaction score 179 Aug 18, 2012 #6 Perry said: Ulikua unatafuta nin kwenye web ya chuo chetu? Click to expand... teh teh teh...
SENGE Member Joined Jan 20, 2012 Posts 20 Reaction score 1 Aug 18, 2012 #7 brian360 said: hili tatizo ni langu au kwa watu wote Click to expand... tatizo ni kwako tu
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Aug 18, 2012 #8 Salary Slip said: Mkuu hii sasa imezidi kiwango. Click to expand... kwa nin mkuu?
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,155 Reaction score 162,571 Aug 18, 2012 #9 Perry said: kwa nin mkuu? Click to expand... Unatakiwa uwape moyo na wenzako mkuu.Hiki ni kipindi kigumu sana kwa applicants wengi na itachukua muda kwa wao kuyakubali na kuyapokea matokeo.
Perry said: kwa nin mkuu? Click to expand... Unatakiwa uwape moyo na wenzako mkuu.Hiki ni kipindi kigumu sana kwa applicants wengi na itachukua muda kwa wao kuyakubali na kuyapokea matokeo.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Aug 18, 2012 #10 Salary Slip said: Unatakiwa uwape moyo na wenzako mkuu.Hiki ni kipindi kigumu sana kwa applicants wengi na itachukua muda kwa wao kuyakubali na kuyapokea matokeo. Click to expand... mkuu,utan kidogo sio mbaya,ilimradi humuuzi mtu.pamoja sana
Salary Slip said: Unatakiwa uwape moyo na wenzako mkuu.Hiki ni kipindi kigumu sana kwa applicants wengi na itachukua muda kwa wao kuyakubali na kuyapokea matokeo. Click to expand... mkuu,utan kidogo sio mbaya,ilimradi humuuzi mtu.pamoja sana
Z ze dudu01 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 235 Reaction score 15 Aug 18, 2012 #11 kesho SUA wanaachia selectn zao xo wanasua mpo !!
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,155 Reaction score 162,571 Aug 18, 2012 #12 Perry said: mkuu,utan kidogo sio mbaya,ilimradi humuuzi mtu.pamoja sana Click to expand... Poa mkubwa.
Perry said: mkuu,utan kidogo sio mbaya,ilimradi humuuzi mtu.pamoja sana Click to expand... Poa mkubwa.
M MAKAH JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 1,582 Reaction score 267 Aug 18, 2012 #13 inafunguka - hata saa hii ninaiona lakini ndo mali hakuna bali "Petroleum and Gas Confrence 2012"
E elank54 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 479 Reaction score 21 Aug 18, 2012 #14 ze dudu01 said: kesho SUA wanaachia selectn zao xo wanasua mpo !! Click to expand... Ardhi huna tetesi mkuu??
ze dudu01 said: kesho SUA wanaachia selectn zao xo wanasua mpo !! Click to expand... Ardhi huna tetesi mkuu??
Medical Dictionary JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 1,060 Reaction score 309 Aug 18, 2012 #15 hata ya muhas inasumbua tokea jana.
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Aug 19, 2012 #16 ze dudu01 said: kesho SUA wanaachia selectn zao xo wanasua mpo !! Click to expand... MHHHH kaka twakwaminia bt kesho si ndo leo???
ze dudu01 said: kesho SUA wanaachia selectn zao xo wanasua mpo !! Click to expand... MHHHH kaka twakwaminia bt kesho si ndo leo???
Z ze dudu01 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 235 Reaction score 15 Aug 19, 2012 #17 LORDVILLE said: MHHHH kaka twakwaminia bt kesho si ndo leo??? Click to expand... dont worry !! Naikumbuka iyo ahadi mkuu <<< Ze duduz >>>
LORDVILLE said: MHHHH kaka twakwaminia bt kesho si ndo leo??? Click to expand... dont worry !! Naikumbuka iyo ahadi mkuu <<< Ze duduz >>>
N Nellywizzo New Member Joined Apr 27, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Aug 19, 2012 #18 hey!vp umeapply ud nn!!?
R REYRO JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 968 Reaction score 244 Aug 19, 2012 #19 Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!mambo ze dudu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!