M MIGNON JF-Expert Member Joined Nov 23, 2009 Posts 4,120 Reaction score 5,119 Aug 13, 2013 #1 Wadau nimejaribu kufungua website ya OUT na avast anti virus imeblock na kuniarifu kuwa imezuia Trojan virus. Kama kuna mdau atusaidie na nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia ubuntu ila baadae ubuntu imegoma kufunguka.
Wadau nimejaribu kufungua website ya OUT na avast anti virus imeblock na kuniarifu kuwa imezuia Trojan virus. Kama kuna mdau atusaidie na nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia ubuntu ila baadae ubuntu imegoma kufunguka.