kweli, kuna shida sana kwenye mtandao. Wazazi/watoto hawajui fate yao ni pipi, CEO wa NACTE amenyamaza.Habarini za muda huu wanajukwaa
Kumekuwa na sintofahamu kubwa katika hizi siku chache ambapo madogo wa diploma wakikaribia kufungua vyuo vyao na tarehe tajwa ni 17/10/2022
Kimbembe kinakuja wakati huu watu wakihangaika kupata matokeo yao, ambapo wanakutana na hio changamoto leo ni siku ya pili website haifunguki kabisa
Sasa wanachojiuliza sana ni kwamba kuna matatizo gani au website wameimehack maana sio kitu cha kushangaa katika ulimwengu huu wa kidigitari
Lingine ni mfumo gani nacte wanatumia kuwapa matokeo yao wanafunzi ?
Yeyote aliyepatwa na tatizo hili au kaligundua mana madogo pressure juu?
Kwan matokeo huwa mnaangaliaga kweny website ya Nacte..Habarini za muda huu wanajukwaa
Kumekuwa na sintofahamu kubwa katika hizi siku chache ambapo madogo wa diploma wakikaribia kufungua vyuo vyao na tarehe tajwa ni 17/10/2022
Kimbembe kinakuja wakati huu watu wakihangaika kupata matokeo yao, ambapo wanakutana na hio changamoto leo ni siku ya pili website haifunguki kabisa
Sasa wanachojiuliza sana ni kwamba kuna matatizo gani au website wameimehack maana sio kitu cha kushangaa katika ulimwengu huu wa kidigitari
Lingine ni mfumo gani nacte wanatumia kuwapa matokeo yao wanafunzi ?
Yeyote aliyepatwa na tatizo hili au kaligundua mana madogo pressure juu?
Status inatakiwa iweje..Kuna webpage ya students information verification kwenye hio website ambapo kila mwanafunzi anatakiwa afatilie status ya matokeo yake
Mtu aliyeandikiwa submitted na yule wa confirmed kuna kua na tofauti gan kweny statusEither. not submitted, submitted and confirmed
Pole buana! nakuona kama dishi limeyumba vile by dr. from Milembe hosp.Habarini za muda huu wanajukwaa
Kumekuwa na sintofahamu kubwa katika hizi siku chache ambapo madogo wa diploma wakikaribia kufungua vyuo vyao na tarehe tajwa ni 17/10/2022
Kimbembe kinakuja wakati huu watu wakihangaika kupata matokeo yao, ambapo wanakutana na hio changamoto leo ni siku ya pili website haifunguki kabisa
Sasa wanachojiuliza sana ni kwamba kuna matatizo gani au website wameimehack maana sio kitu cha kushangaa katika ulimwengu huu wa kidigitari
Lingine ni mfumo gani nacte wanatumia kuwapa matokeo yao wanafunzi ?
Yeyote aliyepatwa na tatizo hili au kaligundua mana madogo pressure juu?
Ukishaandikiwa hivo si tayari tofauti ? ..kwa sababu yakishatumwa tu mwanzoni status inakuwa submitted na baadae inaenda kuwa confirmed, hasa nashangaa kwa wengine haijabadilika na muda unakaribia mwishoMtu aliyeandikiwa submitted na yule wa confirmed kuna kua na tofauti gan kweny status
Kwann watofautiane na matokeo bdo
Not submitted- result not submitted to nacteMtu aliyeandikiwa submitted na yule wa confirmed kuna kua na tofauti gan kweny status
Kwann watofautiane na matokeo bdo