Website ya Marktech imedukuliwa..


Mkuu noma kutaja majina ya watu kaka edit post,pivotech walitisha sana miaka ile walikuwa wanakula bata sana na mafuta ya sites sasa wamefua wamekimbulia congo huko
 
Mkuu noma kutaja majina ya watu kaka edit post,pivotech walitisha sana miaka ile walikuwa wanakula bata sana na mafuta ya sites sasa wamefua wamekimbulia congo huko

Acha tuwataje tu bana crb wajue..we mtu darasa la 7 eti chief engineer? Umeona wapi
 
Diesel hiyo mkuu, ukifanya kazi kwenye izo kampuni kwa mda wa miaka mitano huwezi kosa hata Nissan Navara kama unajua kucheza na meter na pump vizuri. Ila sasa wana ziangusha hizo kampuni wanazo ziudumia, maana wao utakuta watu proffesiona kampuni nzima hata watano hawaifiki na ao wana waajiri kwa ajiri backbone site tu.. ila zingine majanga. Kazi bado tunayo

Kuna technician wa newl mwanza alikuwa anamiliki range rover ..wakati mshahara wake 250000
 

Hahaaa kama juzi arusha backbone ya tigo imepiga chini kisa technician ambaye ni dereva kafanyaje sijui kazima genereta site ikapiga chini
 
ah ah.. la saba chief eng, ilo ni tusi kabisa, kama mimi sikubali kuitwa ilo jina na atakae niita namtia ngumi ya mdomo... hadi kufikia iyo level lazima jasho liwe limekutoka

Acha tuwataje tu bana crb wajue..we mtu darasa la 7 eti chief engineer? Umeona wapi
 
ah ah.. la saba chief eng, ilo ni tusi kabisa, kama mimi sikubali kuitwa ilo jina na atakae niita namtia ngumi ya mdomo... hadi kufikia iyo level lazima jasho liwe limekutoka

We tembelea hapo newl umuone huyo chief engineer...sentensi ya kiingereza hawezi kuandika i can tell u
 
Unakuta Generate kimeo, alafu Backup ina kaa robo saa... ah ah lazima apo site ishuke chini, na hayo magenerate yakiamua kuroga lazima uchanganyikiwe, nakumbuka nilikua kwenye switch moja ya mtando flani, Umeme ukakatika, alafu generate moja likapoteza phase moja, lingine likagoma kuweka maana, lingine uwezo mdogo likawa likiwaka linajizima... na hapo vilikua vichwa tupu.. aisee zile kazi zinahitaji watu makini, tofauti na apo ni hasara tupu.

Hahaaa kama juzi arusha backbone ya tigo imepiga chini kisa technician ambaye ni dereva kafanyaje sijui kazima genereta site ikapiga chini
 
uyo sio wa kwanza mie kukutana nae kwenye izi kampuni, wengi ni majanga maana kazi zenyewe ni za kuitana na kupeana hata Interview hua hakuna.

We tembelea hapo newl umuone huyo chief engineer...sentensi ya kiingereza hawezi kuandika i can tell u
 
Baba Gaude . kawaida mtu yoyote akikaa kwenye iyo industry hata kwa mwezi atajua mengi sana yaliyo jificha maana kutokana na watu walio waajiri wengi ni vidomo domo hawezi kutunza siri wala kujua huyu ni nani na nakaa hapa kwa mda gani, wao wanalopoka tu.

Gogo vivu we unajua..shkamoo
 
Acha tuwataje tu bana crb wajue..we mtu darasa la 7 eti chief engineer? Umeona wapi

Du kweli msela ni std 7? Sidhani Alilay na Ray wamuweke mtu kama huyo,mie nlipiga kazi mwaka 2010 hapo! Kwenye Power si tatizo sana kazi kufanya troubleshooting za Transmission halafu ukute site yenyewe Backbone ina fibre hatari lazima outage iwe zaidi ya 3hrs!!
 
Sikukaa sana kwenye hiyo industry, nimetumia kama mwaka mmoja na miezi kazaa, then nikaamua kujikita kwenye ulimwengu wa programming pamoja security ndio huku naangaika napo hadi kieleweke.

I smell Telecom/Electrical engineers here. Mngekuja na majina verified pangenoga sana Gogo Vivu, King Kong III Baba Gaude πŸ™‚
 
Kwahiyo hiyo web imekutwa na Deliberate Human Acts
Human act may deliberatey cause threats to information and information systems,typical examples may include:Hacking,Espionage or Trespass,Information Extortion,Sabotage or Vandalism,Theft and Disclosure
 
Duh! Sasa mimi naweza lugha gani kama mpaka Kiswahili kinanipiga chenga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…